Kama ilivyo kwa mzazi anavyotamani kumfanyia mwanae mambo mazuri, Ndivyo nami ninavyokuwazia wewe
Kabla hujapendwa na mzazi wako, nalikupenda wewe
Naam, ninakuwazia mema na ninalenga kukutendea jambo jema
Njoo mwanagu, njoo nyumbani
Njoo mwanagu, njoo nikupendaye