Rafiki… Sikia sauti yangu na kupokea fundisho langu Kwa maana huo ndio mwelekeo sahihi
Mimi ndiye Mungu wako Mimi ni wa Mwanzo na Mwisho Mimi ndiye wako sahihi wa kufuata Nifuate unijue mimi
Fungua Macho yako uone, Kwa maana niko nawe lakini hunioni Laiti ungetazama… Ungeniona
Kwa nini unanionea haya? Kwa nini unaona ugumu kunitaja? Je, mimi si ndiye niliyefanya haya yote?
Mimi ni Nuru iangazayo Gizani Mimi ni Nuru ya njia yenu Mimi ni Njia ya wokovu wenu Mimi ni Wokovu wa Maisha yenu Mimi ni Ndiye kila kitu Naam… Huyo…
Mwanagu, Sikiliza sauti yangu nawe utanufaika… Tazama nimepnga mambo mengi mema kwako Naam… Yatakupata mema Mimi Mungu nimesema