Nalikujua wewe
Wakati ukiwa mdogo nalikujua,
Wakati ungali kijana nalikutambua,
Maisha yako yapo mikononi mwangu
Ninazihesabu hatua zako zote
Nimepanga kukupa wokovu
Kwa maana mimi ndiye Mungu Niokoaye
Wakati ukiwa mdogo nalikujua,
Wakati ungali kijana nalikutambua,
Maisha yako yapo mikononi mwangu
Ninazihesabu hatua zako zote
Nimepanga kukupa wokovu
Kwa maana mimi ndiye Mungu Niokoaye
Mwanagu, acha dhambi zako na unirudie mimi.
Ninayafahamu mapungufu yako na madhaifu yako
Ninaweza kufanya njia ya kuja kwangu kupitia hayo
Naam, Tubu kwa moyo wako wote nami nitafanya njia
Mwaliko wa Toba ya Baraka Read More »
Mimi ndiye Mungu wako
Mimi ni wa Mwanzo na Mwisho
Mimi ndiye wako sahihi wa kufuata
Nifuate unijue mimi
Mimi ndiye Mungu wako Read More »