Nalikujua wewe

Wakati ukiwa mdogo nalikujua,

Wakati ungali kijana nalikutambua,

Maisha yako yapo mikononi mwangu

Ninazihesabu hatua zako zote

Nimepanga kukupa wokovu

Kwa maana mimi ndiye Mungu Niokoaye

Scroll to Top